About Chanjo

Chanjo.  Vaccination against corruption, laziness and selfishness through music, cell phones and social media.

CHANJO YA RUSHWA is carried out by Vitali Maembe and the Spirits, a band known for its Afro fusion music and provocative songs on social issues.

 

This music tour will cover all regions of Tanzania . Each and every performance is  followed by open public debate, to give people a voice on the problems of corruption, laziness and selfishness. Toghether people will be able to discuss vivid situations and identify causes and solutions.

You are all welcome to the performances and the ongoing discussions on the blog.

Download Chanjo album FOR FREE through ALBUM YA CHANJO by VITALI and THE SPIRITS

 

Chanjo dhidi ya rushwa, ubinafsi na uvivu  ni kampeni inayotumia muziki na teknolojia ya mawasiliano. 

CHANJO YA RUSHWA  inaletwa kwenu na Vitali Maembe & the Spirits, bendi inayopiga muziki wa kiafrika na kuimba nyimbo zenye kugusa maisha ya jamii.

Kampeni ya Chanjo inafanya maonesho kwenda kila Wilaya, mkoa na  nchi nzima. Kila onesho litaambatana na majadiliano ya hadhira juu ya rushwa, uvivu na ubinafsi. Pamoja watu wataweza kujadili sababu za matatizo haya na suluhu wanazozifikiria.

Nyote mnakaribishwa kwenye maonesho na kutembelea blogu ya Chanjo na kuchangia katika mijadala inayoendelea.

Ili kufanikisha lengo la kuwafikia watu wote albamu hii ya Chanjo inapatikana kwenye mtandao 

ALBUM YA CHANJO by VITALI and THE SPIRITS

 na maonesho  bila gharama ya pesa.